myulp pfp
myulp
@fdgea
Waliokuwa wanafurahia Assad kupinduliwa huko Syria na kikundi cha kigaidi cha HTS(zamani Al Qaeda) nadhani furaha yao inakaribia kuwa kilio. Syria sa hivi imekuwa kama Libya ya baada ya Gadafi. Media za magharibi zilizokuwa zinaripoti kwa bashasha Assad kupinduliwa ghafla zipo
0 reply
0 recast
0 reaction